212. YESU ALITESWA VIBAYA



Yesu aliteswa vibaya

Kwa wewe tu, Kwa wewe tu;

Hana rafiki, amefungwa,

Kwa wewe, kwa wewe tu.


    Nitwae hivi nilivyo,

    Umemwaga damu yako;

    Nawe ulivyoniita,

    Bwana Yesu, naja.


Yesu alikufa mtini,

Kwa wewe tu, Kwa wewe tu;

Alijeruhiwa kwa dhambi,

Kwa wewe, Kwa wewe tu.


Yesu Bwana hukuombea,

Kwa wewe tu, Kwa wewe tu;

Anakuombea uzima,

Kwa wewe tu, Kwa wewe tu.

Comments

Popular posts from this blog

193. KATIKA YESU SINA SHAKA

197. MUNGU ALIAHIDI